Jambo pekee la fainali ya CAFCC lililonifurahisha

Kilichonifurahisha kingine ni Simba kuingiza majina mengi kuliko timu zote kwenye orodha ya CAF ya wachezaji 11 bora wa mashindano haya .. Camara, Ngoma, Ahoua, na Kibu
 
Hata sisi Diarra alikuwa man of the match pia, sema lingine.

Hizo ni siasa za mpira tu, kupoza machungu kwa walioshindwa
 
Hata sisi Diarra alikuwa man of the match pia, sema lingine.

Hizo ni siasa za mpira tu, kupoza machungu kwa walioshindwa View attachment 3347801
Huu "utani wa jadi" unalea viroho fulani vibaya na vichafu ndani ya nafsi zetu.

Leo hautaki kukubali kuwa Diarra alistahili kuwa MOTM kisa utatoa fursa za mashabiki wa Simba nao wajivunie Mutale wao!

Aisee!!
 
Pole Mkuu, inaonekana una stress sana. Yaani umeshusha bar ya mafanikio ya Simba mpaka unashangilia man of the match na Simba kuleta kombe ambalo hawajalichukua? Dah!
 
Yeah. You need help?
Jisaidie wewe kwanza kwa kuona mimi nafurahia story binafsi ya safari ya Mutale msimu huu na kusema wazi kuwa "ndiyo jambo pekee lililonifurahisha" na wewe kutafsiri maneno hayo kama nina stress na nashangilia na kushusha bar ya mafanikio ya Simba.
 
Good start.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…