julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,081
- 4,224
Kiutamaduni mwafrika amezoea choo cha kuchutama. Hivi vya kukaa utamaduni wa wenzetu.
Ila kukaa huwa kunambidi mtu pindi anaumwa au wazee au wamama wajawazito. Mahitaji ya kukaa hayaepukik katika baadhi ya wakati ingawa kama una afya vizuri inashauriwa uchutame.
Jambo plastic hivi viplastic tunaomba mzalishe huko kiwandan vitauzika sana amini naawambia au kama mtu ana ka mashine ka kufinyanga tuviti hutu atauza sana.
Nyumba zetu nyingi hazina vyoo hivyo so unakuta mtu kipindi unaumwa, mathalan kuendesha pale ndio utajua umuhimu wa choo ya kukaa na kujiambia ukija kujenga lazima uweke na nini na nini. Kwa ile adha ya kuchutama na pia hivi viplastic havina kinyaa ukimwamgia maji kanakuwa kasafi.
Hivi hadi hutu tuagize China kwel?