Jambo TV hii propaganda mliyoenda kufanya hapo Manzese ni ya kitoto sana, Nani kawafadhili?

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Hivi ni lini media zitafahamu kwamba hizi propaganda za kitoto za kuchukua wananchi feki ili ku-adress spana a gavoo hazifanyi kazi tena

Jana Mange aliweka video kuonesha kuwa wananchi wa Manzese wanakabliwa na changamoto ya mabomba yao kutoka maji machafu leo Jambo TV wameingia mtaani kukanusha hiyo habari. Hivi ndio mnavyofundishwa huko vyuoni?

Yaani wananchi wanaeleza changamoto zao alafu media inaenda kuhoji ku-debunk kero za wananchi.

Ila lilikuwa ni suala la muda tu. Kila mtu atakuwa chawa nchi hii

Your browser is not able to display this video.
 
Serikali ijitafakari kiukweli ila nasikia Mkuregenzi kalimwa kichwa wa hiyo Media.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…