Uchaguzi 2020 Jambo wanalopaswa kufahamu CHADEMA, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha

Hakuna siasa za kistaarabu tena. nakubaliana nawe 100%. Kama mbinu hazitabadilika, hakutakuwa na matokeo tofauti. Itabidi mbinu zilizomtoa Karume 1972 madarakani zitumike. Kura hazitaleta mabadiliko yoyote.
 
Mkuu, viongozi wetu huwa tunawapeleka Ikulu Kwa Kura zetu, na huu ni wakati wa kufanya hivyo

Vipi tena mkuu, huendi kupiga Kura?
 
Uliongea neno la kinabii sana ndugu. Leo nakubaliana na wewe sana. Na tuanze hili kwenye kupiga kura na kulinda kura hapo kesho
 
Tundu Lissu, Zitto - Ushauri mzuri sana huu. Maalim amekuwa akishinda tangu 1995. Wezi wanaiba na wanapeta mtaani. Tunaishi nao kwa miongo na miongo. Kama hakuna repercussions kwa wezi, CCM wataendelea kuongoza nchi kwa msaada wa jeshi/polisi/NEC/ZEC. Sijui kama kuna nchi ambayo mkuu wa tume ya uchaguzi anamtangaza aliyeshindwa kuwa mshindi halafu yeye na familia yake wanaendelea na maisha yao mtaani kama kawaida - wanaenda bichi, shuleni, sokoni... bila ya wasiwasi. Time to think outside the box.
 
Endelea kubeba kichwa kama pambo
Natamani kusikia kilio chenu kesho mkiombolezea kushindwa kwenu

Maana ninyi tushagawazoea, Mitandaoni huwa mnatuchosha Sana, Lakini kwenye kupiga Kura CCM ndio hufanya kweli
 
Natamani kusikia kilio chenu kesho mkiombolezea kushindwa kwenu

Maana ninyi tushagawazoea, Mitandaoni huwa mnatuchosha Sana, Lakini kwenye kupiga Kura CCM ndio hufanya kweli
Ni kweli lakini kawaulize wajinga wenzako risasi za nini wakati huu
 
Hoja fikilishi hii,wanaharibu maisha ya mamilioni ya watu wao wanakula goodtime,why tusionjeshane shida wote ili tujue utamu na uchungu wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…