Jambo

Najua ulikuwa unachukua point muhimu na kwenda kuzifanyia kazi.. karibu sana kiongozi wetu wa umri mkubwa humu ndani maana una mengi ya kutuambia. Miaka saba c mchezo mtoto kazaliwa na sasa yupo primary school
 
Mimi ni msomaji mzuri tu ila sasa najifunza kuwa mchangia mada pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…