Jameni hii sasa ni too much, kwenye mbio za marathon Kenya yanyakua namba 1-2-3-4-5-6-7-8-9-10-11-12-13-14-15-16-17

Hahaha hii imenichekesha sana.
 
Kuna shida gani na mmeumbwa kufukuza upepo
 
Nice one. Saw this somewhere else and it made me so proud to be Kenyan.
 
Tuwalinde hawa maana wakigeuka wezi tutawatafuta kwa tochi
 

Hata mkiamua kufufua ma-thread ya miaka ya zamani,lakini kwenye mpira hamtuwezi...

Hivi wachezaji wa kenya miguu yao imepinda wanawezaje kupata penati 1tu kati ya 5....???
 
Hata mkiamua kufufua ma-thread ya miaka ya zamani,lakini kwenye mpira hamtuwezi...

Hivi wachezaji wa kenya miguu yao imepinda wanawezaje kupata penati 1tu kati ya 5....???

Hehehe!! Ushindi wa penalti ni kama umtafune demu uliyetongozewa akaletwa na kuvuliwa nguo na kulazwa kitandani, yaani wewe uchomeke tu.
Ushindi wa kweli ni ule wa kupambana midume kwa midume dakika 90 uwanjani, na hilo tulishawaonyesha kati yetu nani anafaa kuongea, maana tuliwatia adabu.
 
Ile miguu ya wachezaji wa harambee stars iko na funza mob
 
Mnavyopiga makelele sijui ingekuaje mngetushindia kule Misri ambapo tuliwashinda kwenye mechi ya kweli ya kimataifa.

Kule mlishinda then mkaenda wapi??????..jana tumeshinda tunasonga mbele hadi chan..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…