James Earl Jones is Dead

James Earl Jones is Dead

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Nilipenda sana sauti yake nzito katika movie mbalimbali kama vile King Mufasa (The Lion King), King Jaffe Joffer wa Zamunda (Coming to America) na Director wa CIA (Clear and Present Danger) pamopja na movie nyingine nyingi sana. Zaidi zaid tutamkumbuka zaid kwa sauti yake ya "This is CNN." Alishasema kuwa alikuwa na kigugumizi sana lakini katika movioe zake, kigugumizi hicho hakikusikika kabisa,

Mungu alizae pema peponi roho ya James Earl Jones; amekufa akiwa na umri wa miaka 93.


View: https://www.youtube.com/watch?v=WyHErsZ2CsQ
 
Huyu mwamba namkubali sana. Inabidi movie mpya ya MUSAFA: The Lion King waweke post-credit in the memory of James Earl Jones
 
Apumzike kwa amani. Ameacha alama.
 
Back
Top Bottom