James Gayo na Masoud Kipanya tumewakosea nini sie wana CHADEMA?

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Masoud Kipanya na James Gayo hiyo sio poa kabisa naona mnapenda kutukosea sana kwamba sisi ni wengi ila kuchukua nchi tuna nafasi finyu sana au sie tupo wengi ila walamba asali ni wengi sana.

Nitafungua mashtaka kwa James Gayo na Masoud Kipanya maana naona mnaendelea kutukosea sana.




 
Sijaona kama kuna ishu ya maana sana kuwahusu hao Chadema, kupitia hizo katuni.
[emoji849][emoji849]katuni zenyewe zimekosa hata kachupa ka konyagi na asali [emoji1787][emoji1787]
 
wachora katuni hawawezi kusaidia.

Hoja tatu zilizoko mezani zinahitaji majibu toka kwa VIONGOZI wa Ccm.

Ccm watoke na majibu na mapendekezo kuhusu hoja zifuatazo.

1. Katiba Mpya.

2. Tume Huru ya Uchaguzi.

3. Tume ya ukweli haki na maridhiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…