James Katie: Mjue vizuri kiungo 'matata' Mghana anayetarajiwa kusaini Simba

Hongereni watani kwa kupata kiungo mkabaji aliecheza mechi nane msimu mzima,hao ndio wachezaji wenu wa kimataifa halafu mnataka refa toka nje tehtehtehteh
 
Usiwe kama mshamba bhana....

Kapombe amecheza mechi ngapi msimu huu.. ? Je zinazidi 3.?

Namzungumzia Kapombe wa msimu uliopita. aliye maliza ligi akiwa na magoli mengi kuliko Mkude.
 
Usibanie pua.Unamlinganisha na Mkude kwani nyie hamna kiungo mkabaji?Nae alizidiwa na Kapombe?Zulu kafunga ngapi?Mbona unakuwa kama manzi mwenye ujauzito kuchagua cha kujibu. Au isije ikawa najibishana 1/4.
 
Mnamkumbuka Joseph tetteh zuttah beki wa Yanga kutoka Ghana...huyu ni galasa.. watu wa magharibi tena kijana mdogo aje bongo badala ya kwenda hata ulaya mashariki?
 
Mnakurupuka kwani Zulu kacheza mechi ngapi?Msimu mzima?Kawaida ya nyani haoni kundule.
 
Msimu huu migongo wazi wana wasiwasi sana Kuna nini?
 
Mnamkumbuka Joseph tetteh zuttah beki wa Yanga kutoka Ghana...huyu ni galasa.. watu wa magharibi tena kijana mdogo aje bongo badala ya kwenda hata ulaya mashariki?

James Zuttah! ndio namkumbuka sana yule.


Huwaga Dar es Salaam Young Africans SC hawana kawaida ya kusajili galasa. Na ikitokea, basi ni mara moja katika miaka 6.

Sasa hawa Wamatopeni kule Msimbazi wao wanasajili galasa juu ya galasa.... Miaka 3 iliyopita wamesajili jumla ya magalasa 6.

1. Sserenkuma
2. Kiongera
3. Papa Ndaw
4. Pada Niang
5. Nimubona
6. Kwizera.


Hawa jamaa kama wanafanya kubahatisha tu kwenye suala la usajili.
 
Mnakurupuka kwani Zulu kacheza mechi ngapi?Msimu mzima?Kawaida ya nyani haoni kundule.
Unachotakiwa kujua kwa sasa kuwa Yanga haijawahi bahatisha kwenye Usajili.... Inatokea mara nadra sana.. Yaani kama mara 1 tu kwa misimu 3.

Sasa nyinyi... Mmesajili magalasa 6 na kuyaacha yote 6 katika nyakati tofauti tofauti.. Huku Yanga ikiwa na kikosi chake kilekile..

Kuwa na Amani uonapo yanga inarecruit new players... [emoji23]
 
kuna galasa moja umelisahau.......ni fowad
 
Kiungo mkabaji si rahisi kupata nafasi ya kufunga magoli. Kwa mfano, hapa Bongo, nitajie kiungo mkabaji unayedhani ni mahiri kuliko wote katika ligi kuu ya vodacom, halafu uniambie katika mechi 15 za raundi ya kwanza amefunga mabao mangapi
 
Nikitu kidogo tu ambacho watanzania hua tunakosea,,
 
Zulu Mwaka 2005-2007 app 0 goals0
2007-2009 Hapoel beter sheva
App 23 goal 1
2009-2010 Hapoel bei lod
App 31 goal 1
2010 -2012 Hapoel rishon
App 50 goals 3
2012-2013 Lamontville golven arrows
App 4 goals 0
Kabwe United 2014
App 0 goals 0
Zesco United
App 0 goals 0
 
hahaaa unaweza hata kusajili kipa na ukamjudge kafunga magoli mangapi..kwa upande wangu naona angekua mshambuliaj ndo tuangalie idad ya magoli aliyofunga
 
Bonge la mchezaji. HUYU ZULU SIO MCHEZO MCHEZO.
 
Ahahaahahhaha.... Takwimuuuuu hatareeee.

Hapa naona nyani wanachekana mikundule yao... Ahahahhahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…