James Katie: Mjue vizuri kiungo 'matata' Mghana anayetarajiwa kusaini Simba


Linganisha APPEARANCE za hawa watu wawili.

Mmoja kacheza mechi 8 tu. Kwenye ligi ya kiwango cha chini kama Oman....


Mwingine kacheza mechi lukuki. Kwenye ligi kubwa kama ya Israel.....
 
Kiungo mkabaji hapimwi kwa goals na assists, anapimwa kwa tackles, interceptions nk. Kante msimu uloisha alikua kiungo anayeheshimika alifunga magoli mangapi?
 
Justin ZULU




James KOTEI


Linganisha hapo. Then tell ungependa umchague nani....
 
Linganisha miaka waliyocheza .Zulu kacheza huko Israel miaka 5 iliyopita. Kuanzia 2012 mpaka leo kacheza mechi ngapi?
 
Aliyecheza recently. Kumchagua aliyecheza mwaka 2012 na kuanzia 2013 mpaka leo ana appearance 4 ni kuchagua ujinga.
 
Lakini sioni ajabu mlishaleta wachezaji Mba kutoka Cameroon mwenye miguu miwili ya kushoto,Sherman kutoka Liberia tukaambiwa ni mdogo wake George Weah,Wauza nyanya kutoka Brasilien Jaja na Coutinho wa kuchonga na winga kutoka Charlotte ambaye hakucheza msimu mzima kabla ya kujiunga na migongo wazi.
 
Kiungo mkabaji si rahisi kupata nafasi ya kufunga magoli. Kwa mfano, hapa Bongo, nitajie kiungo mkabaji unayedhani ni mahiri kuliko wote katika ligi kuu ya vodacom, halafu uniambie katika mechi 15 za raundi ya kwanza amefunga mabao mangapi
Jonas Mkude wa Yanga! Ooh sory ulimi umeteleza ni James Mkude wa Simba.
 
Kumtathimini kiungo mkabaji kwa idadi ya magoli ya kufunga ni moja ya vituko vya kufungia mwaka huu.

Ila niko concerned na historia yake, kama kweli mtoa mada katoa taarifa sahihi, basi maana yake huyu sio mchezaji aliyetengeneza jina popote kwa kuwa tegemeo. Kuna 'red flag' nyingi kumhusu. Nina wasiwasi sana na wachezaji wa kimataifa wanaokuja kwa majaribio.

Hatutaki tena mambo ya kina akina Jaja
 
Kutoka Zesco United .Sorry nilifikiri unaulizia yule mchezaji ambaye hajacheza mwaka mzima.
 
mi hapo ndo naonaga bora kusajili hapahapa kama pro mwenyewe ndo dizaini hii
 
Mkuu umesahau foward yao hatari iitwayo Akufo
 
Leo Chirwa kaishia kuruka ruka tu.Wamechezesha timu mbili bado wamekwaa viwili. Kocha huyu akifika Februari ana bahati.
 
Huyu galasa ambalo halijacheza mpira mwaka mzima limeonyesha wazi kwamba ni gunia la misumari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…