James Lyimo: Wanaotumia dawa za kulevya chanzo cha machafuko Tanzania

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Huyu naye atupishe huko! Atupe ushahidi

Tangu vijana wa Gen Z tutangaze maandamano wanakuja na propaganda zao za hovyo tu!

Tuwakumbushe kwamba ndio kwanza kumekuchaaa!
==================
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, James Lyimo ameongeza kuwa asilimia kubwa ya watu wanaosababisha machafuko na kuhatarisha amani ya nchi ni waathirika wa dawa za kulevya, hivyo Serikali haitakubali biashara hiyo kuendelea kuenea nchini.

Madawa ya kulevya ambayo yameteketezwa hii leo katika kiwanda cha Saruji cha Twiga Cement kilichopo Wazo jijini DSM ni pamoja na Bangi ,Heroine ,Mirungi ,Cocaine na Methamfetamine
Your browser is not able to display this video.
 
Angezungumza chanzo au kisababishi cha hayo matumizi angekuwa kaupiga mwingi sana.

Pengine vijana wanataka kutibu tatizo linalosababisha watumie
 
Uwepo wa dawa za kulevya unadhihirisha udhaifu wa serikali na vyombo vyake wa kuzuia uingizwaji na usambazaji wa dawa hizo nchini. Hiroine na cocks hazizalishwi nchini ukiziona juwa mipaka siyo salama.
 
Chanzo cha machafuko kwenye nchi yeyote ni MAGENGE ya WAHUNI na WANAMTANDAO.
 
Kamuulize JK Mwaka 2010 ingekua siyo hao king makers wa madawa ya kulevya ku-finance uchaguzi wake ule angekua wapi?

Wafanyabiashara wote wa hizi dawa ni CCM members
 
Chanzo kikuu Cha machafuko ni mafisadi na wanaoitafuna hii nchi bila huruma kama hajaliona hili hata yeye ni chanzo Cha machafuko pia
 
Madawa ya kulevya ambayo yameteketezwa hii leo katika kiwanda cha Saruji cha Twiga Cement kilichopo Wazo jijini DSM ni pamoja na Bangi ,Heroine ,Mirungi ,Cocaine na Methamfetamine
Hapo kwenye nyekundu ndio tunapokosana, bangi haipo kwenye kundi moja na cocaine, heroine
 
Wauza dawa za kulevya ni rafiki na ndugu zake Samia na mwanae Abdul.

Alafu mwambie tukilikomboa Taifa hiyo Oktoba 29 yeye atakuwa mmoja wa watu watakaokamatwa na kunyongwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…