Makonde plateu JF-Expert Member Joined Nov 19, 2022 Posts 1,443 Reaction score 3,480 Jul 18, 2023 #1 Waanzilishi na waasisi wa Chama Cha Wananchi (CUF): Shabaan Khamis Mloo, Seif Sharif Hamad na James Mapalala… Huyu Mapalala aliwekwa ndani na kuteswa sana na Dikteta Nyerere kwa zaidi ya miaka miwili… Muwe mnaandika na mabaya ya Nyerere ili vijana wajifunze sio kila siku kumwaga sifa na mapambio tu!…! Pia soma - Zitto Kabwe: Buriani Mzee James Mapalala, Wajibu umeutimiza
Waanzilishi na waasisi wa Chama Cha Wananchi (CUF): Shabaan Khamis Mloo, Seif Sharif Hamad na James Mapalala… Huyu Mapalala aliwekwa ndani na kuteswa sana na Dikteta Nyerere kwa zaidi ya miaka miwili… Muwe mnaandika na mabaya ya Nyerere ili vijana wajifunze sio kila siku kumwaga sifa na mapambio tu!…! Pia soma - Zitto Kabwe: Buriani Mzee James Mapalala, Wajibu umeutimiza
Mto Songwe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2023 Posts 6,683 Reaction score 14,060 Jul 20, 2023 #2 Chawa wa lumumbashi said: Muwe mnaandika na mabaya ya Nyerere ili vijana wajifunze sio kila siku kumwaga sifa na mapambio tu!…! Click to expand... Huyo ni Mungu wa Tanzania na Watanzania waliowengi wanasema alikuwa mwema(mtakatifu). Inafikirisha kweli.........
Chawa wa lumumbashi said: Muwe mnaandika na mabaya ya Nyerere ili vijana wajifunze sio kila siku kumwaga sifa na mapambio tu!…! Click to expand... Huyo ni Mungu wa Tanzania na Watanzania waliowengi wanasema alikuwa mwema(mtakatifu). Inafikirisha kweli.........
misedemideheki JF-Expert Member Joined Aug 7, 2020 Posts 246 Reaction score 448 Jul 22, 2023 #3 Huwezi kuwa rais bila kuwa dikteta, dhulma, mnyama, mwenye roho ngumu. Nyerere_mapalala nk Mwinyi_nyonganyonga watu Mkapa_mauwaji Zanzibar Kikwete_seya family Magufuli_dhulma kedekede.
Huwezi kuwa rais bila kuwa dikteta, dhulma, mnyama, mwenye roho ngumu. Nyerere_mapalala nk Mwinyi_nyonganyonga watu Mkapa_mauwaji Zanzibar Kikwete_seya family Magufuli_dhulma kedekede.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 22, 2023 #4 Ahsante kwa taarifa...