NCCR Mageuzi
Member
- Oct 3, 2007
- 23
- 63
Siku chache mara baada ya Tume ya Taifa ya uchaguzi kumzuia kufanya mikutano ya hadhara Mgombea Ubunge wa Jimbo la Vunjo ndugu James Francis Mbatia kwa ajili ya kampeni za kuomba kura, sasa ndugu Mbatia ameamua kuomba kura nyumba kwa nyumba huku kundi kubwa la wananchi na wanachama wa chama cha NCCR-Mageuzi wakimuunga mkono kwa kuandamana nae kata kwa kata nyumba kwa nyumba kwa ajili ya kuomba kura ili waweze kumchagua tena kuliongoza Jimbo la Vunjo 2020-2025