NCCR Mageuzi
Member
- Oct 3, 2007
- 23
- 63
Ingawa mimi nina mrengo wa UKAWA lakini bora Kimei atoboe. Huyu akaungane na Cheyo na Mrema.Hapati hata diwani mmoja, mpuuzi sn achana aungane na wenzake akina Mrema, Cheyo, Shibuda na Lipumba
Kabisa ni msaliti snIngawa mimi nina mrengo wa UKAWA lakini bora Kimei atoboe. Huyu akaungane na Cheyo na Mrema.
This snitch. This pimp!Siku chache mara baada ya Tume ya Taifa ya uchaguzi kumzuia kufanya mikutano ya hadhara Mgombea Ubunge wa Jimbo la Vunjo ndugu James Francis Mbatia kwa ajili ya kampeni za kuomba kura, sasa ndugu Mbatia ameamua kuomba kura nyumba kwa nyumba huku kundi kubwa la wananchi na wanachama wa chama cha NCCR-Mageuzi wakimuunga mkono kwa kuandamana nae kata kwa kata nyumba kwa nyumba kwa ajili ya kuomba kura ili waweze kumchagua tena kuliongoza Jimbo la Vunjo 2020-2025
View attachment 1605832
View attachment 1605833