James Mbatia bado ana hamu na CCM?

James Mbatia bado ana hamu na CCM?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Naomba kujuzwa na ndugu marafiki jamaa na wapenzi wa ndugu yetu James Mbatia; je, bado anahamu na CCM?

Maana walimpa wafuasi kibao kule Rungwe Busokelo juu ya yote akakaribishwa ikulu na Mh Rais.

Swali langu bado ana mahaba na chama dola? Maana hata ubunge kakosa labda abebwe kwenye zile 10 Kama kawaida yake.

Superbug
 
Swali hili pia ningependa Kama litajibiwa na CCM B yani TLP.
 
Swali hili pia ningependa Kama litajibiwa na CCM B yani TLP.
Hahahah TLP Walitangaza kumuunga mkono MAGUFULI kukawa kimyaa. Walivyotanga ACT na CDM kuungana mkono. Wakasema wanawachanganya wapiga kura. Nchi hii
 
Back
Top Bottom