James Mbatia ni mfano wa kuigwa

James Mbatia ni mfano wa kuigwa

Big Eagle

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2020
Posts
592
Reaction score
625
James Mbatia alichaguliwa na JK kuwa mbunge na baada ya kula kiapo kuwa mbunge hakubadili chama chake napale alipoona JK na serikali yake wanakosea alikosoa vikali, alikua akiongea mpaka spika za bunge zinatetemeka.

Sikiliza nondo zake. Ni mwana siasa alieweka historia ya pekee japo hatuna utamaduni wa kuandika historia yetu mpaka wazungu waje watuandikie ndo wazungu wanasema aliegundua ziwa la Kanda ya ziwa anaitwa Victoria
 
View attachment 1838384
Sikiliza nondo zake. Ni mwana siasa alieweka historia ya pekee japo hatuna utamaduni wa kuandika historia yetu mpaka wazungu waje watuandikie ndo wazungu wanasema aliegundua ziwa la Kanda ya ziwa anaitwa Victoria
Na KWELI uungwana wake mpaka JPM alimpa MAJIMBO 20
 
Hao wanasiasa wepesi wepesi tu.
 
Niliwahi kufanya kazi na Kaka yake Mkubwa James anaitwa Kessy, Jamaa wapo kwny System kitambo sana
 
Mdude aahidi kumnyoa mama kwa wembe.

1625294535538.png
 
Huyu si mfano bora, labda mfano mbaya! Hanajipendekeza kwa watawala, ni mwepesi kuwauza wenzake, rafiki wa jiwe, alipenda kuongea nae kwenye simu, hivyo alimpa moyo na jiwe aliendeleza ukatili wake!
 
Back
Top Bottom