Alipewa ahadi hewa ya kupewa majimbo 20 na yule dhalim akawasaliti wapinzani .Huyu huyu James Mbatia aliyewasaliti wenzake?
Na KWELI uungwana wake mpaka JPM alimpa MAJIMBO 20James Mbatia alichaguliwa na JK kuwa mbunge na baada ya kula kiapo kuwa mbunge hakubadili chama chake napale alipoona JK na serikali yake wanakosea alikosoa vikali, alikua akiongea mpaka spika za bunge zinatetemeka.
View attachment 1838384
Sikiliza nondo zake. Ni mwana siasa alieweka historia ya pekee japo hatuna utamaduni wa kuandika historia yetu mpaka wazungu waje watuandikie ndo wazungu wanasema aliegundua ziwa la Kanda ya ziwa anaitwa Victoria