James Mbatia: Rais Samia mwanzo alitoa tumaini, sasa hivi mambo yanavurugika

Huyu jamaa namfananishaga na Seneta wa Makueni Kenya Mutula Kilonzo ni kama Pacha vile.....hata uongeaji wao
 
Hujitambui
 
Unataka amtendee haki gani Gaidi?
 
Nampa pole sana mama yako kuzaa mapooza yaani kabeba mimba na leba kaenda halafu anazaa mtoto wa aina hii,mwenye akili hizi??
Hata kama una njaa please tumia akili zako otherwise uwe dishi limeyumba 92%
Siku zote machizi huwa wanaamini kila wanayekutana naye ni chizi kama wao, na huwa hawajijui kama wao machini. that's the problem.
 
Sitegemei chochote kipya toka kwa CCM, bila katiba mpya taifa hili halitasogea popote, kama manvyoona sasa leo wanasanya hadi senti zetu kiduchu tunazotumiana kuganga njaa.
 
Mbatia hivi ni kweli uliahidiwa nafasi za wabunge?

Ndio aliahidiwa na yule ibilisi aliye motoni, lakini dhalimu alipoona uungwaji mkono mkubwa walio nao cdm, huku Mbatia na Lipumba wakiwa hawana mvuto, ikabidi avuruge uchaguzi maana hata yeye alijikuta hana mvuto aliokuwa amajiaminaisha anao.
 

Utoto at Work.
 
Ni ngumu Sana kutoka kwenye udikteta mkishaingia
 
wangelipua vituo vya mafuta na kusababisha machafuko nchini mwaka jana, ungechinjwa kichwa chako hicho sijui hata hiyo keyboard ungeandikia kuzimu. walifanya move mbaya na wanatajiwa kujilaumu.
Propaganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…