James Mbatia: Ufanisi na kuaminika Serikali ya awamu ya sita umeondoka kabisa

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema Ufanisi na kuaminika serikali ya awamu ya sita umeondoka kabisa pia Mbatia amesema kuna mpasuko mkubwa Serikalini.

Mbatia amedai kukosekana kwa uchaguzi mwaka jana kumeleta matatizo mengi na hali sio nzuri.
 
wapinzani hawajawahi kukosa neno..........kila awamu wanaponda
 
Mbatia huwa yupo accurate sana. Akizungumza huwa anatumia utulivu sana wa kifikra na busara.
 
Mbatia ni malaya tu wa kisiasa hakuna wakumwamini.
 
Ndio tatizo la kuongozwa na mtu anayebridi kila mwezi,kila baada ya hedhi akili inaanza kusoma 0 kwenye kichwa yake,ndio maana hata viongozi aliowaamini na kuwapa wizara anawatoa ufahamu kwenye majukwaa ya kimataifa,ama hakika hapa tuna kivuli cha rais tu.
 
Baaday ya kumleta makamba ikabidi nivyuo na jazz yangu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Rais anamjibu waziri wake kuwa kaongea nonsense katika jukwaa la Kimataifa!

Dah! Hii nahisi ni aibu inayonishika mimi!
Sehemu nyengine waziri huyu ameshajiuzulu kitambo.Kwetu unakula matusi na bado unauchuna.hahahhaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…