GE2025 James Mbowe kugombea jimbo la hai kupitia CHAUMMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Mbowe baada ya kutangaza kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) amesema atachukua fomu ya kuomba ridhaa kugombea Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro.

James amejiunga na chama hicho leo, Jumatano Makao Makuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma Biafra jijini Dar es Salaam, huku akieleza amejiunga na jukwaa hilo ili kwenda kuwawakilisha wananchi wa Hai.

Katika tukio la kujiunga kwake aliambatana na kada mwingine wa Chadema, Yericko Nyerere wote wamekahidhiwa kadi ya chama hicho kipya wamejinasibu kuwatumikia wananchi kwa uadilifu kwa kuzingatia kasi na nguvu ileile waliyoitumia walikotoka.
Your browser is not able to display this video.
 
Kituo kinacho fuata ni aikaeli mbowe πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
 
watashindwa wote wasaliti washenzi wakubwa!
 
Jimbo la Hai ndipo alikuwepo baba ake kama mbunge, hii inamaanisha mbowe atakwenda kugombea urais kupitia chauma na kumpigia kampeni mwanae huko kwao πŸ”₯

Panazidi kunoga πŸ˜‚
 
Kumekucha ss
 
Jimbo la Hai ndipo alikuwepo baba ake kama mbunge, hii inamaanisha mbowe atakwenda kugombea urais kupitia chauma na kumpigia kampeni mwanae huko kwao πŸ”₯

Panazidi kunoga πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ila huuwaka nomaqq
 
Uchaguzi ukihairishwa hii movie itakuwa yenye mwisho unaochekesha mno kwetu sisi watazamaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…