Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mwanachama wa CHADEMA James Mbowe, amelaumu serikali kwa kuunda mazingira yanayowafanya wananchi kudharau mchakato wa uchaguzi. Akizungumza na Jambo Tv, Mbowe ameeleza kwamba wananchi wengi wanajua ni nani wamemchagua, lakini hawajawahi kujua matokeo halisi ya uchaguzi, hali ambayo inachangia kuporomoka kwa imani katika demokrasia.