Fact..Dogo anaforce siasa, ila hana kipaji cha siasa. Siasa nayo kipaji jameni, tusifosi vitu. 😁
Haahaa mwasisi anayekaa kimya huku chama kikishambuliwa sio sawa kamwe...Mtoto wa Freeman Mbowe, Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), James Mbowe,amesema anamuuga mkono Freeman Mbowe, kwa kitendo chake cha kutotoa maoni yake juu ya yanayoendelea ndani ya CHADEMA Pamoja na Kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu.
James, ameyasema hayo wakati akizungumza na wanahabari kuhusu mwenendo wa chama hicho akiwa katika ofisi za CHAUMMA.
"Taasisi inayowekeza kwenye kutukana waasisi wake, imejiua yenyewe, namuunga mkono Freeman Mbowe,
kunyamaza, yeye kwenye chama alimaliza wajibu wake, sasa mnataka aseme nini wakati wajibu wake yeye alishamaliza" amesema
stupid, ulikuwa mradi wa familai yenu from baba mkwe! takataka nyote na Mbowe baba yakoMtoto wa Freeman Mbowe, Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), James Mbowe,amesema anamuuga mkono Freeman Mbowe, kwa kitendo chake cha kutotoa maoni yake juu ya yanayoendelea ndani ya CHADEMA Pamoja na Kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu.
James, ameyasema hayo wakati akizungumza na wanahabari kuhusu mwenendo wa chama hicho akiwa katika ofisi za CHAUMMA.
"Taasisi inayowekeza kwenye kutukana waasisi wake, imejiua yenyewe, namuunga mkono Freeman Mbowe,
kunyamaza, yeye kwenye chama alimaliza wajibu wake, sasa mnataka aseme nini wakati wajibu wake yeye alishamaliza" amesema
Dogo kaa kimya! CCM tunajazana ndugu kwenye vyeo (Wagombea ubunge) chama na nyie mnarudia kosa lile lileMtoto wa Freeman Mbowe, Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), James Mbowe,amesema anamuuga mkono Freeman Mbowe, kwa kitendo chake cha kutotoa maoni yake juu ya yanayoendelea ndani ya CHADEMA Pamoja na Kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu.
James, ameyasema hayo wakati akizungumza na wanahabari kuhusu mwenendo wa chama hicho akiwa katika ofisi za CHAUMMA.
"Taasisi inayowekeza kwenye kutukana waasisi wake, imejiua yenyewe, namuunga mkono Freeman Mbowe,
kunyamaza, yeye kwenye chama alimaliza wajibu wake, sasa mnataka aseme nini wakati wajibu wake yeye alishamaliza" amesema
Lissu ni kiboko ya walanguzi wa kisia
Atulie CDM siyo chama cha kifamilia kam ilivyo fisiem, na wala hana mandate ya kuzungumza hayo kwa sababu hakuwahi kuwa na mchango wowotte CDM laba kwa kufaidi mapato ya baba yake tuu au babu zake .so atulie
Mbowe ana akili timamu hawezi kukakaa chama kimoja na waropokaji, washuzi na watu waliofuzu kutukana.Mbowe hatamsahau Lissu. Kamuhamisha chama kwa lazima.
Nyie watu wa chadema mnataka watu waongee vitu mnavyotaka nyie tuh .Mtoto wa Freeman Mbowe, Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), James Mbowe,amesema anamuuga mkono Freeman Mbowe, kwa kitendo chake cha kutotoa maoni yake juu ya yanayoendelea ndani ya CHADEMA Pamoja na Kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu.
James, ameyasema hayo wakati akizungumza na wanahabari kuhusu mwenendo wa chama hicho akiwa katika ofisi za CHAUMMA.
"Taasisi inayowekeza kwenye kutukana waasisi wake, imejiua yenyewe, namuunga mkono Freeman Mbowe,
kunyamaza, yeye kwenye chama alimaliza wajibu wake, sasa mnataka aseme nini wakati wajibu wake yeye alishamaliza" amesema
Naunga mkono hoja yako.✍️Mbowe ana akili timamu hawezi kukakaa chama kimoja na waropokaji, washuzi na watu waliofuzu kutukana.
We unamsifia mwenzio analia Kila cku kua kaekwa selo moja na watu waliohukumiwa kifo