GE2025 James: Mlitaka Mbowe aseme nini wakati wajibu wake alishaamaliza

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hakuna wa kumchagua huyo mpumbavu ..pia mpina kadanganywa alitakiwa kugombea ubunge tu siyo urais ...tayizo la bmvyama vya uoinzani wanadhani hii miaka 5 inayokuja ni ya siasa za kidemokrasia ...mimi nawaambia miaka 5 inayokuja ni ya mchaka mchaka wa vita kisiasa.
 
Ajabu wabaki na hiyo chadema yao
 
Mbowe ni mtu mwenye busara sana
 
Dogo bora ungekaa kimya kila ukifungua hilo domo lako unazidi kudhirisha upumbavu uliojaza kichwani mwako, jitahidi kuficha ujinga wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…