Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Aliyekuwa CEO wa 21st century Fox, James Murdoch amejiuzulu kwenye bodi ya News Corp ambayo ni kampuni mama ya jarida maarufu la Wall street.
James ameelezea kutokubaliana na maudhui yalichapishwa na vyombo vya kampuni hio kama sababu ya kuachia ngazi ambayo amehudumu kwenye bodi tangu 2013.
News Corp ni moja kati ya kampuni mbili za habari zinazomilikiwa na baba yake. Kabla aliondoka fox news nafasi ambayo ilichukuliwa na kaka yake. James alishawahi kutofautiana na baba yake juu ya mtazamo wake kwenye siasa za kihafidhina.