Sasa unahangaika nini si achana nao?Bonglob - Login, Signup
Nina mashaka na huu mtandao saaana tu sijui kwa nini...
jamaa mwenyewe anaipigia promotion kila kukicha facebook anaitwa james obedi ila kiukweli NINA MASHAKA NAYO kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo mashaka yanaongezeka ngoja tuone
mashaka yangu ni kuwa hii inaonekana ni mtandao wa kuingiza hela kwamba unaweza kuutumia na kukuingizia kipato
yale yale ya working online program
sasa mimi naogopa sana maana watanzania wengi wanajiandikisha kwa huu mtandao wakitegemea kuwa watatengeneza kipato kirahisi
coz jamaa style yake anakwamia pata kazi kwa njia rahisi kwa kujiunga na huo mtandao