Mandown
JF-Expert Member
- Apr 8, 2012
- 1,665
- 507
December 25 2021 NASA kwa kushirikiana na shirika la anga la Canada na Ulaya wamerushe Telescope yenye thamani ya $10 Million yenye Tekinolojia ya hali ya juu sana kwenda kumulika anga za mbali na kutupa data za anga za Mbali kuona matukia ya Miaka 13 Billion iliyo pita.
Ina onesha kama upuuzi kuelezea mtu kwamba una chambo cha kuangaza matukio ya miaka billion 13 iliyo pita!!!.
Ipo hivi, sisi tunaona kupitia Mwangaza. Mwangaza unafahamika kua na kasi zaidi kuliko kitu chochote. Vile vile anga za Mbali kuna umbali mrefu sana kiasi kwamba vipimo vya kawaida kama Miles, Killometers etc havina maana. Kwa mfano kutoka kwenye Jua mpaka duniani inakakadiriwa kuwa Kilometer 150 Million au kutoka kwenye Jua mpaka sayari ya Jupiter ni Kilometer 778 Million. Mwanga unatumia sekunde 8.2 kusafiri kutoka kwenye jua kuja Duniani, ina maana pale unapo liona jua lilisha kua pale dakika 8 zilizo pita. Hali kadhalika , mwanga unatumia wastani wa dakika 44 kufika sayari ya Jupiter , ina maana ungekua sayari ya jupiter, position ya Jua utakayo iona lilishakua pale dakika 44 zilizo pita.
Kwakua vipomo vya umbali kama Kilometa na Miles hazina maana kutumika kwennye anga za mbali. Kipimo ambacho hutumika ni Light years. Light year ni umbali mwanga husafiri kwa mwaka moja duniani (kilometer 9.5 Trillion). Mfano kutoka kwenye Jua mpaka Duniani kuna umbali wa 8.2 light second , kutoka kwenye Jua mpaka sayri ya Jupita ni 44 light munutes. Nyota iliyo karibu na mfumo wa jua letu ni Alpha Centauri ambayo ni 4.3 Light years. Ukiiona nyota ya Alpha Centauri ina ng'aa usiku ni tukio la miaka 4.3 iliyo pita .
August 1977 na September 1977 Voyeger 1 na Voyeger 2 vilirushwa kusafiri anga za Mbali mpaka leo vina safiri (Miaka 44) vikiwe vimetoka kwenya mfumo wa Jua letu kuelekea mfumo ya Jua lingine. Voyeger 1 imetembea Kilometer 23 Billioni na Voyeger 2 imetembea Kilometer 19 Billion (Vyote vikiwa havija fikisha hata light year moja). Inachukua takriban masaa 20 kwa signal kufika duniani kutoka kwenya Voyeger.