Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kuna baadhi ya vyombo vya habari havina kabisa weledi, hivi kweli unaweza kumuita Julio kwenye media ukaongea nae masaa 2? Ni faida gani atakupa kwa watazamaji ama wasikilizaji? Hana hoja yoyote ya maana anayoweza kuongea watu wakaifanyia kazi, hivi kweli unaweza kumfananisha mla sigara bwege na Chama?
Mla sigara bwege kacheza Simba lipi hasa alilolifanya, hivi ukipima mafanikio ya Chama na mla sigara pori mizani itaegemea wapi?
Halafu nyie mnaomhoji huyo Julio muulizeni kwann huna timu? Alikuwa anafundisha Namungo lkn kila siku yuko dar, we kocha wa ukweli utakosa timu ya kufundisha kweli? Pumbavu