Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Huo wivu tu Julio alicheza mpira usimfananishe na hao vibwengoKuna baadhi ya vyombo vya habari havina kabisa weledi, hivi kweli unaweza kumuita Julio kwenye media ukaongea nae masaa 2? Ni faida gani atakupa kwa watazamaji ama wasikilizaji? Hana hoja yoyote ya maana anayoweza kuongea watu wakaifanyia kazi, hivi kweli unaweza kumfananisha mla sigara bwege na Chama?
Mla sigara bwege kacheza Simba lipi hasa alilolifanya, hivi ukipima mafanikio ya Chama na mla sigara pori mizani itaegemea wapi?
Halafu nyie mnaomhoji huyo Julio muulizeni kwann huna timu? Alikuwa anafundisha Namungo lkn kila siku yuko dar, we kocha wa ukweli utakosa timu ya kufundisha kweli? Pumbavu
Hebu kunywa maji mengi ili upunguze hasira. Maana inaonekana huyo Julio amekuvuruga kweli kweli.Kuna baadhi ya vyombo vya habari havina kabisa weledi, hivi kweli unaweza kumuita Julio kwenye media ukaongea nae masaa 2? Ni faida gani atakupa kwa watazamaji ama wasikilizaji? Hana hoja yoyote ya maana anayoweza kuongea watu wakaifanyia kazi, hivi kweli unaweza kumfananisha mla sigara bwege na Chama?
Mla sigara bwege kacheza Simba lipi hasa alilolifanya, hivi ukipima mafanikio ya Chama na mla sigara pori mizani itaegemea wapi?
Halafu nyie mnaomhoji huyo Julio muulizeni kwann huna timu? Alikuwa anafundisha Namungo lkn kila siku yuko dar, we kocha wa ukweli utakosa timu ya kufundisha kweli? Pumbavu
Au labda utamaduni wetu unapenda Sana "wasema ovyo" kama ndo wanavuta watazamaji??Kitu msichokijua wasafi wanatumiwa na manara kupitia diamond kuichafu Simba kwa hali yoyote ile.