Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ atangaza kuachana na soka

tatizo huyu jamaa mpira anaufindishia kwenye vyombo vya habari. Ni uamuzi mzuri sana lkn.
 
Malinzi kaifanya TFF kama ya familia yake!
 
alikua amepoteza mvuto timu yake haina ushindi zaidi ya kufungwa kila siku
 
Anajificha chini ya mwamvuli wa waamuz

Hivi timu yake isingekuwa mkian angeropoka hivo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…