Jamhuri kiwelo mbona hujiamini.....! Unatutia mashaka

Jamhuri kiwelo mbona hujiamini.....! Unatutia mashaka

gango2

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2011
Posts
1,956
Reaction score
2,274
Huyu jamaa toka ametangazwa kuiongoza kilimanjaro starz naona anakosa kujiamini kabisa

kila kukicha anakimbilia vyombo vya habari mara kunakushindwa mara, tukishindwa msilaumu tumelilia timu mara ooooh.....

kwakweli hili limeanza kututia mashaka sana sie
 
Pia inaonekana ameshaiteka kabisa Kili Stars,maana Mkwasa hata hatumsikii.
 
Pia inaonekana ameshaiteka kabisa Kili Stars,maana Mkwasa hata hatumsikii.​
  • Boniface.Mkwasa kocha mkuu..yuko safarini SA...Kuhusu Julio kuongea hiyo ni jadi yake...tena hapo mbona bado..ngoja ashinde mechi ndio utampenda Julio...
 
Back
Top Bottom