gango2 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2011 Posts 1,956 Reaction score 2,274 Nov 19, 2011 #1 Huyu jamaa toka ametangazwa kuiongoza kilimanjaro starz naona anakosa kujiamini kabisa kila kukicha anakimbilia vyombo vya habari mara kunakushindwa mara, tukishindwa msilaumu tumelilia timu mara ooooh..... kwakweli hili limeanza kututia mashaka sana sie
Huyu jamaa toka ametangazwa kuiongoza kilimanjaro starz naona anakosa kujiamini kabisa kila kukicha anakimbilia vyombo vya habari mara kunakushindwa mara, tukishindwa msilaumu tumelilia timu mara ooooh..... kwakweli hili limeanza kututia mashaka sana sie
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Nov 22, 2011 #2 gango2 said: Huyu jamaa toka ametangazwa kuiongoza kilimanjaro starz naona anakosa kujiamini kabisa kila kukicha anakimbilia vyombo vya habari mara kunakushindwa mara, tukishindwa msilaumu tumelilia timu mara ooooh..... kwakweli hili limeanza kututia mashaka sana sie Click to expand... Pia inaonekana ameshaiteka kabisa Kili Stars,maana Mkwasa hata hatumsikii.
gango2 said: Huyu jamaa toka ametangazwa kuiongoza kilimanjaro starz naona anakosa kujiamini kabisa kila kukicha anakimbilia vyombo vya habari mara kunakushindwa mara, tukishindwa msilaumu tumelilia timu mara ooooh..... kwakweli hili limeanza kututia mashaka sana sie Click to expand... Pia inaonekana ameshaiteka kabisa Kili Stars,maana Mkwasa hata hatumsikii.
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 20,654 Reaction score 35,887 Nov 22, 2011 #3 Tanzania ukiwa mpiga domo mzuri unaweza kuukwaa hata kigoda cha magogoni. Ulimakafu said: Pia inaonekana ameshaiteka kabisa Kili Stars,maana Mkwasa hata hatumsikii. Click to expand...
Tanzania ukiwa mpiga domo mzuri unaweza kuukwaa hata kigoda cha magogoni. Ulimakafu said: Pia inaonekana ameshaiteka kabisa Kili Stars,maana Mkwasa hata hatumsikii. Click to expand...
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 40,905 Reaction score 86,203 Nov 22, 2011 #4 Pia inaonekana ameshaiteka kabisa Kili Stars,maana Mkwasa hata hatumsikii. Click to expand... Boniface.Mkwasa kocha mkuu..yuko safarini SA...Kuhusu Julio kuongea hiyo ni jadi yake...tena hapo mbona bado..ngoja ashinde mechi ndio utampenda Julio...
Pia inaonekana ameshaiteka kabisa Kili Stars,maana Mkwasa hata hatumsikii. Click to expand... Boniface.Mkwasa kocha mkuu..yuko safarini SA...Kuhusu Julio kuongea hiyo ni jadi yake...tena hapo mbona bado..ngoja ashinde mechi ndio utampenda Julio...