Jamhuri Morogoro: Mtibwa vs Simba hakuna mbabe

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Ukiwa ni mwendelezo wa vpl msimu wa 2020_2021
Simba anawakabili wanalamba lamba sukari toka turiani
Je morson atafunga?
Bocco atawaacha mtibwaa?
Maufundi ya bwalya mguuni?

Usikosee
Update zitakuwa zinakuji
Simba starting XI
Manula
Kapombe
Tshabalala
Onyango
Kennedy
Mkude
Mzamiru
Chama
Morrison
Bocco
Kondeboy


Mtibwa starting XI
 
Tuko pamoja katika safari ya kuzoa tena vikombe vyote vilivyo mbele yetu.
 
Mola jalia Mnyama Simba apate point zote tatu.

#Simba Bingwa 2020/2021
 
Aha ha
5 ..labda timu nyingine
Mtibwa leo anaondoa UTEJA
Mtibwa ya msimu uliopita na hii ya mwaka huu bado ni urojo tu. Morson na Konde boy watateleza tu kwenye mashamba ya miwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…