Jamhuri Morogoro: Mtibwa vs Simba hakuna mbabe

Ngoja nimpangie first eleven kocha Kishingo.

1. Manula
2. Kapombe
3. Shabalala
4. Mzee Wawa
5. Babu Unyango
6. Mkude
7. Morrison / Miquisone
8. Fraga
9. John boko /Mugalu sijamfahamu
10. Chama
11. Kahata

Morrison na Miqueson hawatakiwi kuanza kucheza pamoja, wote hawana nguvu. Dilunga aanze ktk viwanja vya mkoani, kama jana na Mtibwa angeanza Dilunga.

Kwako kocha msaidizi Matola.
 
Unaruhusiwa kuweka first eleven wageni 6 kuanza?
 
Zaidi ya 80% ya viwanja vyetu viko hivyo na wachezaji wetu wametoka huko! Kwa hiyo mkishindwa kupata matokeo myatakao msisingizie viwanja! Pale Jamhuri msimu uliopita mlimchapa Mtibwa, uwanja ulikuwaje?
Hii comment yako usave ili mkianza mechi za mikoani usituletee malalamiko ya viwanja
 
Mbona kagere umemwacha kabisa
 
Na Zanzibar ndugu ha ha ha
 
Leta ushahidi siyo unakata mauno hapa vidole juu
Nenda YouTube umsikie mwenyeweee Mzee Morrison akielezea nadhani utakuwa ni ushahidi mzuri kuliko hizi porojo zangu hapa au Mtibwason wamekukerason huko moroson?
 
Hii comment yako usave ili mkianza mechi za mikoani usituletee malalamiko ya viwanja
Wamesahau msimu uliopita walianza mechi nyingi nyumbani walipotoka nje wakaanza kwenda nje na kupoteza ndio wakajua viwanja vibovu tuwasubiri na wao wakitoka nje
 
Wamesahau msimu uliopita walianza mechi nyingi nyumbani walipotoka nje wakaanza kwenda nje na kupoteza ndio wakajua viwanja vibovu tuwasubiri na wao wakitoka nje
Hao hao mbeya city wanaocheza nao kwenye mrudiano kazi wanayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…