Jamhuri na Simba ni ipi timu Bora iliyopigwa 5G na yanga

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Happy New year ..

Mwaka jana Baada tar 31 Dec 2023 tumeshuhudia Yanga ikiikanda jtimu ya jamhuri Kwa kichapo Cha 5 [emoji113] lkn Kuna vitu vya kushangaza

Je jamhuri ni wadhaifu

Jamhuri imefungwa 5 na Yanga B ...lkn pia kikosi Cha jamhuri ni tia maji tia maji ( sio ghali) ukilinganisha na kikosi Cha Yanga B

Simba walikandwa 5...1 na Yanga ....huku Simba ikiwa imesheheni top classic players wa kimataifa pia Simba ikiwa kwenye peak kubwa ya ubora hapa Africa

Swali ni Je .... tuseme jamhuri ni wadhaifu ( Yanga kapiga bomb mochwari????
 
Nilishasema Bongo kuna timu mbili tu Yanga na Ihefu
 
Kaangalie rank za Caf ndio zinatoa takwimu za ubora
Uzuri timu ya Simba haihangaiki kuwa kama Yanga Bali Yanga ndio wanapambana kuwa kama Simba. Malengo tofauti kabisa. Ndio maana kwao kila kitu ni issue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…