Dunamist
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 474
- 686
Salaam wakuu
Natambua kabisa kuwa JF iko na utajiri wa wajuvi wa mambo katika kada zote za maisha. Kijana wenu naomba kujuzwa haya machache yanayonitatiza kuhusu muundo wa serikali ya Iran.
Mosi, natambua kuwa Iran ni jamhuri ya Kiislamu, je kiongozi wa kidini wa Iran ana mamlaka kuliko kiongozi wa kisiasa wa Iran(rais)?
Pili, Iran haijawahi kupigana vita na Israel, nini chanzo cha uhasama wake na taifa hilo la Wayahudi (Israel)?
Tatu, Kwa nini Israel haitaki kabisa kuiona Iran ikiwa na ngome imara huko SYRIA?