Nani amekwambia kwamba Irani ni jamhuri ya ki Islamu ?Salaam wakuu
Natambua kabisa kuwa JF iko na utajiri wa wajuvi wa mambo katika kada zote za maisha. Kijana wenu naomba kujuzwa haya machache yanayonitatiza kuhusu muundo wa serikali ya Iran.
Mosi, natambua kuwa Iran ni jamhuri ya Kiislamu, je kiongozi wa kidini wa Iran ana mamlaka kuliko kiongozi wa kisiasa wa Iran(rais)?
Pili, Iran haijawahi kupigana vita na Israel, nini chanzo cha uhasama wake na taifa hilo la Wayahudi (Israel)?
Tatu, Kwa nini Israel haitaki kabisa kuiona Iran ikiwa na ngome imara huko SYRIA?
Kwanza hujajibu swali. Sababu nataka kuokoa muda na kukusaidia. Jua ya kuwa si Jamhuri ya Kiislamu. Sasa kuhusu kujua ni Jamhuri ya nini ni jukumu lako kufatilia kama ukivyofatilia na kuona ya kuwa ni Jamhuri ya Kiislamu.Ni jamhuri ya ki-nini mkuu?
Sasa nifatilie wapi mkuu zaidi ya kwenye vyombo vya habari? Au niende Tehran?Kwanza hujajibu swali. Sababu nataka kuokoa muda na kukusaidia. Jua ya kuwa si Jamhuri ya Kiislamu. Sasa kuhusu kujua ni Jamhuri ya nini ni jukumu lako kufatilia kama ukivyofatilia na kuona ya kuwa ni Jamhuri ya Kiislamu.
Kama hujufatilia na umesema kama visemavyo vyombo vya habri,hilo ni tatizo lako na unatakiwa uanze sasa kufatilia hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Japokuwa umenijibu kihuni kwa kauli yako ya mwisho. Sitakujibu kihuni,fatilia mitandaoni au endelea kuwauliza watu zaidi na zaidi.Sasa nifatilie wapi mkuu zaidi ya kwenye vyombo vya habari? Au niende Tehran?
Samahani sana mkuu kama nimekujibu kihuni, ila naomba walau hata link kadha wa kadha ninakoweza kupata habari/taarifa za uhakika kuihusu jamhuri hii tukufu. Asante sanaJapokuwa umenijibu kihuni kwa kauli yako ya mwisho. Sitakujibu kihuni,fatilia mitandaoni au endelea kuwauliza watu zaidi na zaidi.
Yaani sio lazima uende Tehran. Wewe komaa kama unataka kuujua ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia tu kuvamiwa kwa Iran ndiyo mwisho wa Uhuru kwa Binadamu.Salaam wakuu
Natambua kabisa kuwa JF iko na utajiri wa wajuvi wa mambo katika kada zote za maisha. Kijana wenu naomba kujuzwa haya machache yanayonitatiza kuhusu muundo wa serikali ya Iran.
Mosi, natambua kuwa Iran ni jamhuri ya Kiislamu, je kiongozi wa kidini wa Iran ana mamlaka kuliko kiongozi wa kisiasa wa Iran(rais)?
Pili, Iran haijawahi kupigana vita na Israel, nini chanzo cha uhasama wake na taifa hilo la Wayahudi (Israel)?
Tatu, Kwa nini Israel haitaki kabisa kuiona Iran ikiwa na ngome imara huko SYRIA?
Si umueleweshe tu Mkuu, yanini kuzunguka namna hiyo.Kwanza hujajibu swali. Sababu nataka kuokoa muda na kukusaidia. Jua ya kuwa si Jamhuri ya Kiislamu. Sasa kuhusu kujua ni Jamhuri ya nini ni jukumu lako kufatilia kama ukivyofatilia na kuona ya kuwa ni Jamhuri ya Kiislamu.
Kama hujufatilia na umesema kama visemavyo vyombo vya habri,hilo ni tatizo lako na unatakiwa uanze sasa kufatilia hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15] ndo maana US anayachukia Sana mapinduzi ya Iran...Jerusalem Ni Centre of Business Tangu Waajemi(WaIRAN) na walipokuwa WaTawala.
ISrael ipo katikati Zone Ya Mipaka ya Vita.
Ni kweli kabisa Kiongozi wa Dini Iran Ndo Mtu Wa Mwisho kutoa maamuzi.
Na wanaitwa Ayyatollah,,,,Na wanaandaliwa katika dunia ya siri mno ndanibya Irani.
Huwa ni special selected Islamic Students,,,School zao wanazowachagua huitwa "Hawzah"
Kuna mambo mengi tu yanafanyika na yakuelezea.
Sema Dunia imefunikwa na propaganda mno.
Wengi hawaamini katika uwezo wa taifa hili.
Lakini Ni Taifa Imara zaidi kuwahi kutokea lenye itikadi za dini.
Naomba ujue kwamba hata ndani ya Irani US Dollar haitumiki na makampuni ya US hayaruhusiwi kufanya uwekezaji.
Achana nae huyo kwani yeye kaijua aijuavyo Irani kupitia Nini au na yeye Ni mwana wa Tehran,,,,Myahudi mbongo huyo wazee wa propaganga za CNN hawo usipoteze muda wake bure....Samahani sana mkuu kama nimekujibu kihuni, ila naomba walau hata link kadha wa kadha ninakoweza kupata habari/taarifa za uhakika kuihusu jamhuri hii tukufu. Asante sana
Wacha nikujibu maana mimi ni mtu nilieyetembea hao mataifa ya israel na syria na pia najua mengi kuhusu iran ila sijawi fika hapo- kwanza ndio kiongozi wa iran wa ndini ayatollah ana nguvu na mamulaka zaidi ya raisi wa taifa la iran,kama hata bunge likipitisa sheria asipoweka sahini signature huyu ayatollah kiongozi wa deni hio sheria haitakuwa sheria. kuhusu nini shinda ya israel na iran, hizi taifa 2 hazijawahi kupigani ila chuki ya wana iran kwa wayahudi israel ni ya kuwa wao iran ni waislamu na israel ni wayahudi na hivyo klla mara iran inapiga kelele death to israel, wanaita israel the small satan , na pia hao iran ndio wanapatia hela wale magaidi wako lebanon ambao wanaitwa HEZBOLLAH, na hao magaidi wanarusha makombora hadi israel kiongozi wao anaitwa NASHRAH. la 3 sababu iran ni adui wa isreal ndio israel haiwezi ruhusu iran iweke zana zake za kivita hapo syria, maana nia ya iran ni kuiangamiza wana israel, na ndio sababu kamwe isreal haitakubali kamwe iran iweke watu wake hapo syria, na israel tayari imeua wana iran wengi sana wanajeshi ambao walikuwa wako hapo syria.kumbuka taifa lenye uwezo mkubwa zaidi wa kijeshi duniani ni----ISRAEL. nafikiri nimekujibu ya kutosha, kaa hujatoseka uliza tu kila hujaelewa mkuu, baraka tele.Salaam wakuu
Natambua kabisa kuwa JF iko na utajiri wa wajuvi wa mambo katika kada zote za maisha. Kijana wenu naomba kujuzwa haya machache yanayonitatiza kuhusu muundo wa serikali ya Iran.
Mosi, natambua kuwa Iran ni jamhuri ya Kiislamu, je kiongozi wa kidini wa Iran ana mamlaka kuliko kiongozi wa kisiasa wa Iran(rais)?
Pili, Iran haijawahi kupigana vita na Israel, nini chanzo cha uhasama wake na taifa hilo la Wayahudi (Israel)?
Tatu, Kwa nini Israel haitaki kabisa kuiona Iran ikiwa na ngome imara huko SYRIA?
Bro sizunguki,kuna wakati mwingine ukimpa muongozo mtu wa kuujua ukweli ndio jibu sahihi zaidi na ukimuelezea unakuwa unakosea japokuwa utampa jibu sahihi.Si umueleweshe tu Mkuu, yanini kuzunguka namna hiyo.
Asante sana mkuu, angalau nimeanza kupata mwangaKwajins ninavyoelew kidogo kuhusu Irani...
√Irani ni nchi inayoongozwa kwamisingi na sharia za dini ya kiislamu na hili lilitokea soon baada ya kufanyika kwa revolution mnamo miaka ya 1970's. baada ya revolution hii kufanyika ndio utawala mpya ukaitangaza irani kuwa nchi itayoongozwa na sharia za dini ya kiislamu....
√Irani ina mfumo wa utawala ambao kimsingi unatofautiana na nchi nyingne kuna vitu vitatu 1) Supreme leader 2)president 3) paliament...!! yaani suprime leader huyu nikiongoz anayesimamia utekelezwaji wa sharia na kufuata misingi ya kiislam na huy ndie anayeorganiz everything kuhusian ns taratibu zotd zakidini...
Raisi huyu anachaguliwa na watu lakin anakuw passed na huy suprim leader lakin pia inabid awe approved na tume y uchaguz ambay inasimamia katiba n.k na kwauelewa wang rais wa jamuhuri ya kiislam y irani analimitation ya muda madarakan ila suprim leader yeye hana!
Baada ya raisi then kun paliament ambao memba wak wanachaguliw kutokea majimbon lakin pia nao nilazima wawe waislam ten wanaoijua dini vizur na wawe passed na hi tum inayosnamia uchuguz na katiba....(administrative system ya iran kidogo ipo complicated lakin raisi anamamlaka na ndio mkuu wa nchi ila hunge linauwezo wa kumtoa madarakan endapo vitu havitaenda sawa).
√kuhusu battle ya Iran na Israel nchni syria kidgo kun mitazamo tofautitofaut lakin huasama unaanza kutrace kuanzia mwak 1948's pnd tu umoja wa mataifa ulipoitangaza Israeli kam nchi! so hap kuhusu huu uhasam na kwann kil mmoj anainterest syria inamaelezo meng san kwaninavyofaham so ndio hvyo bro!
Asante mkuu, kwa maana hiyo kumbe Iran anaweza kutumia Syria kama sehemu ya kuishambulia Israel kutokea?Wacha nikujibu maana mimi ni mtu nilieyetembea hao mataifa ya israel na syria na pia najua mengi kuhusu iran ila sijawi fika hapo- kwanza ndio kiongozi wa iran wa ndini ayatollah ana nguvu na mamulaka zaidi ya raisi wa taifa la iran,kama hata bunge likipitisa sheria asipoweka sahini signature huyu ayatollah kiongozi wa deni hio sheria haitakuwa sheria. kuhusu nini shinda ya israel na iran, hizi taifa 2 hazijawahi kupigani ila chuki ya wana iran kwa wayahudi israel ni ya kuwa wao iran ni waislamu na israel ni wayahudi na hivyo klla mara iran inapiga kelele death to israel, wanaita israel the small satan , na pia hao iran ndio wanapatia hela wale magaidi wako lebanon ambao wanaitwa HEZBOLLAH, na hao magaidi wanarusha makombora hadi israel kiongozi wao anaitwa NASHRAH. la 3 sababu iran ni adui wa isreal ndio israel haiwezi ruhusu iran iweke zana zake za kivita hapo syria, maana nia ya iran ni kuiangamiza wana israel, na ndio sababu kamwe isreal haitakubali kamwe iran iweke watu wake hapo syria, na israel tayari imeua wana iran wengi sana wanajeshi ambao walikuwa wako hapo syria.kumbuka taifa lenye uwezo mkubwa zaidi wa kijeshi duniani ni----ISRAEL. nafikiri nimekujibu ya kutosha, kaa hujatoseka uliza tu kila hujaelewa mkuu, baraka tele.