Kwa jinsi rasimu ilivyo nahisi JMT inatakiwa kuwa Taifa lakini tusaidiane maana rasimu inasema ni nchi na shirikisho lenye mamlaka kamili ambalo limetokana na Muungano wa nchi mbili, Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar
halafu hapo kwenye Muungano wa nchi mbili
kwa Tanganyika kuna maneno watu yameachwa Yaani Jamhuri ya Watu wa Tanganyika ilihali Zanzibar neno watu limo
Mapendekezo yangu JMT liwe Taifa na sio nchi
Being People's republic of Tanganyika or Republic of Tanganyika does not make any difference. Just two different names with the same meaning. Here is the difference between country (nchi), Nation (Taifa) and state as copied from somewhere: Country and State are synonymous terms that both apply to self-governing political entities. A nation, however, is a group of people who share the same culture but do not have sovereignty. Therefore JMT is nation with two countries sharing stupid cultures (hahaha). Does People's republic of Zanzibar has self-governing political entities? I am not sure..
Tunaomba tafsiri ya neno nchi na taifa na tofauti yake pliz.
Tunaomba tafsiri ya neno nchi na taifa na tofauti yake pliz.
Kuna taifa lisilo na eneo na je kuna nchi isiyo na watu?Nchi ni eneo, Taifa ni jamii ya watu. Kwa maana hiyo Taifa linaishi ndani ya nchi.
Ni Taifa. Kwani Tanganyika hainaNchi ni eneo, Taifa ni jamii ya watu. Kwa maana hiyo Taifa linaishi ndani ya nchi.
Tanzania ni usanii, mazingaombwe yanayolindwa kwa nguvu za kijeshi na propaganda za vitengo.Kwa jinsi rasimu ilivyo nahisi JMT inatakiwa kuwa Taifa lakini tusaidiane maana rasimu inasema ni nchi na shirikisho lenye mamlaka kamili ambalo limetokana na Muungano wa nchi mbili, Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar
halafu hapo kwenye Muungano wa nchi mbili
kwa Tanganyika kuna maneno watu yameachwa Yaani Jamhuri ya Watu wa Tanganyika ilihali Zanzibar neno watu limo
Mapendekezo yangu JMT liwe Taifa na sio nchi
Leo Tarehe 26 April, 2020 ni sikukuu ya Muungano, sikukuu hii ndio sikukuu muhimu kuliko hata uhuru kwasababu hii ni siku JMT ilipozaliwa. Lakini kutokana na janga hili la Corona, siku hii inaadhimishwa kimya kimya.Kwa jinsi rasimu ilivyo nahisi JMT inatakiwa kuwa Taifa lakini tusaidiane maana rasimu inasema ni nchi na shirikisho lenye mamlaka kamili ambalo limetokana na Muungano wa nchi mbili, Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar
halafu hapo kwenye Muungano wa nchi mbili
kwa Tanganyika kuna maneno watu yameachwa Yaani Jamhuri ya Watu wa Tanganyika ilihali Zanzibar neno watu limo
Mapendekezo yangu JMT liwe Taifa na sio nchi