Jamhuri ya Muungano wa wahuni na masela

The Big Brain

Member
Joined
Mar 8, 2023
Posts
24
Reaction score
38
Mnyama aligonga sana mlango wa Nusu fainali zaidi ya mara nne ila Wahuni na Masela wakamwambia sogea tuvunje mlango tuingie, hakuna Masterkey kwenye kufuri la Solex ni tindo na mateke tuzame ndani.

Karibu kwenye Jamhuri ya Wahuni na Masela

By Farhan

 
watu wabaya sana hawa,wamefanya mpk timu moja ionekane mbumbumbu
 
Naomba kuuliza gsm ni mdhamini au muwekezaji katika klabu ya Yanga?.. ilo tuu ukinisaidia ntashukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…