chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Kila mitandao ya kijamii kuna jamhuri zake.mfano ukija instagram ni fake life na kila picha za mastaa utaona simu kageuza ili mradi ufahamu kuwa hana macho matatu aka iphone na umbeya.
Sasa jamhuri ya twitter !
Kila mtu msomi na mwenye IQ ya juu kuliko hata wale wanaotajwa duniani.
Kila mtu ni mkosoaji na mjuaji wa kiwango kikubwa utazani sio binadamu asiye na mapungufu.
Kila mtu ni high classic kuanzia kujiona,kushauri,kujua na n.k
Kila mtu ni mwanasiasa na mwanaharakati
Serikali yetu ni bora ukosea kutumia instagram serikali kuliko kukosoa kutumia twitter ,watakushugulikia.
Watu wa twitter wakijibiwa ukweli au kukoselewa kinacho fata ni block.
Vyama pinzani na wanaharakati wapo wengi kuliko ccm
Viongozi wengi na idara nyingi zipo humu
Dada zetu wamejaribu kujiweka labda wataopoa lakini ni pagumu kuliko mitandao mengine
Nawasilimu kwa jamhuri ya twitter