Icon Special
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 257
- 230
Nimekatiza Conner ya love nimekuta mdada ameandika nahitaji Serious man, ameshusha uzi wa maana to kwa wale wenzangu na mm tusiojua kiingereza... Ni balaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Mwenyewe kajiona kapatia kuandika kiingereza chake huku akikazia mwenyewe
Teh teh teh teeeehhhh [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu walipo toka huko na comment zao utacheka ufee....
Nimecheka Hadi najionekana Kama
mwehu asubuhi hiii
Mmhh [emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Noma kweli