Haswaa, Kwa hii JF ya sasa mimi sioni kama slogan ya The Home of Great thinker ni sahihi.Nilidhani ni mimi tu,kumbe tupo wengi. Hata baadhi ya members walio kuwa active sana siku hizi hawajihusishi na jf.
Jf ya miaka ya 2009-2015 ni tofauti na hii.
Humu mi naona ukileta nyuzi zako utapata negative comments sana. Nishaona watu wanaleta simulizi wanaishia kutukanwa mpaka mtu anaacha. Kuna jukwaa watu wanatafuta wapenzi anakutana na dhihaka anaamua kufuta uzi.
mie sio mchangiaji sana tangu Mwanzo,lakini Jf ilikuwepo vizuri.It begin with you, wewe je nachangia mjadala Kwa hoja nzuri? Au unatutegemea Sisi watu wakula tunda kimasikhara
HAKUNA MTU SMART AMBAE ALIKUA JF 15 YEARS AGO HADI LEO AKAWA ACTIVE MEMBER,wote wameacha jukwaa kwa vijana wa chitchat,JF Sasa ni more of a dating app...Kuna mdau hapo juu katuma comment kama hii kimafumbo, lakini mbona hata simulizi nzuri nzuri kama za Kina Lara 1, The bold, Konda msafi mzee wa Khumbu hatuzipati? nazo zinafutwa? hata majukwaa ya Elimu ya Fedha ukienda maana za maana hazina wachangiaji.
Ndio, hata huu uzi nikitaka naweza kuwaomba mods waufute.
Sasa mazoea mabaya, pengine bado wapo ila wameona wasiwe active. Binafsi nakuja tu sababu ya mazoea lakini kila nikija sikuti kitu cha maana cha kusoma.HAKUNA MTU SMART AMBAE ALIKUA JF 15 YEARS AGO HADI LEO AKAWA ACTIVE MEMBER,wote wameacha jukwaa kwa vijana wa chitchat,JF Sasa ni more of a dating app...
Ndio, hata huu uzi nikitaka naweza kuwaomba mods waufute.
πΉπΉπΉ Leo unawabamiza SumbaiIt begin with you, wewe je nachangia mjadala Kwa hoja nzuri? Au unatutegemea Sisi watu wakula tunda kimasikhara
Na uchawa.Haivutii kabisa , mada za kufuatilia maisha ya watu , kujisifu na kujipa umuhimu zimekua nyingi !
Wewe ndio umechangia kuiuaaamie sio mchangiaji sana tangu Mwanzo,lakini Jf ilikuwepo vizuri.
Lazima ujisikie hivyo sababu Kila baada ya dakika mbili ni nyuzi za erythrocyte na lord denning wakimsifoa lissu.Wakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Nipo likizo, ππππΉπΉπΉ Leo unawabamiza Sumbai
Kisaikolojia kitu kinapo poteza mvuto kinasababisha na mambo mengine kufifia mfano shule ikiwa na mwalimu mmoja tu mpuuzi wa somo moja inaweza kusababisha wanafunzi kuchukia shule na kupoteza moyo wa masomo yote kutokana na huyo mwalimu mmoja tuKuna mdau hapo juu katuma comment kama hii kimafumbo, lakini mbona hata simulizi nzuri nzuri kama za Kina Lara 1, The bold, Konda msafi mzee wa Khumbu hatuzipati? nazo zinafutwa? hata majukwaa ya Elimu ya Fedha ukienda maana za maana hazina wachangiaji.
Mkuu uko sawa ? Pole na changamoto.Simple tu, log out usitusumbue,manake nyie ndio mnaongoza kusema nyuzi za wenzenu kuwa ni chai,halafu eti unaanza kulialia. Si ulog out tu
Cc Nomadix
Binti Sayuni03
Uliikuta na utaiacha Ndio kanuni ya Maisha hioWakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
Jukwaa limetawaliwa shallow thinkers kina Lucas Mwashambwa na John the BaptistWakuu, Kuna kitu sio cha kawaida ninapitia, Siku hizi JF haikidhi mahitaji yangu ya habari, burudani na maarifa. Miaka michache nyuma JF ilikuwa kila kitu. Mijadala ya kuvutia, kisima cha maarifa mapya, simulizi za kusisimia. Awali nilikuwa naweza kumaliza siku nzima JF pekee na nisitake site nyingine,siku hizi hata nusu saa nashindwa kumaliza. Kwanini nafeel hivi siku hizi? Siku, wiki, miezi inaweza kupita sijapata kitu cha kuelimisha au kuburudisha. Hii hali ni mimi tu napitia au na wengine?
[emoji3][emoji3] pole mkuu. Nmekua napitia madini ya zamani ya JF watu walikua wanatoa nondo kweli kweli..ila ukichek hizo ID last seen unakuta mwaka 2013 kushuka chini..wengine 2015 kushuka chini, hawapo kabisa ...saivi unafungua unakuta mambo ya ajabu ajabuHiyo sahii mkuu,hakuna tena la maana,me nilijitoa mwaka Jana sikuwaza Kama nitarudi tena,.Ila shemeji yenu(tumeoana ofcoz) ambae ni memba,kanishawishi Sana nirudi JF,Jana ndio nikafungua account mpya..and trust me tangu nimeingia najaribu kuperuzi kila jukwaa naona ushubwada tu..wtf