Jamii Forum inapoteza ushawishi kwangu.

Siku hizii unakutana na mada kama hii; Simba akishinda jumapili nipigwe ban

Mods nao wana entertain tu ujinga
 
ujinga mwingi ndio unaleta traffic kwenye website , na hapo ndio wamekamatia.....
 
Uchawa unpenya kila mahali, ogopa nguvu ya pesa
 
Sio rahisi 17yrs kwenye game sio jambo la kitoto.
 
Sio rahisi 17yrs kwenye game sio jambo la
Sasa hiv platform zimekuwa nyungi sana sio kama miaka 17 iliopita. wasap, tiktok, AI youtube ilikuwa bado changa. Forum ilikuwa kama teknolojia kubwa.
Miaka hio Wikimedia ilikuwa moto leo sidhani kama kuna watu wanaingia wiki.com.
Unaweza ukawepo ila mdhaifu unae jikongoja.
Angalia microsoft walivyopoteana, unajua bill alikuwa tajir no1 kwa miaka mingapi? Ni zaidi ya 20, leo kapoteana. Nivizuri sana kuchukua tahadhari vinginevyo unakufa mazima.
 
Nilidhani ni mimi tu,kumbe tupo wengi. Hata baadhi ya members walio kuwa active sana siku hizi hawajihusishi na jf.
Jf ya miaka ya 2009-2015 ni tofauti na hii.
Wamebadili I'd mkuu , usidanganyike na ndio wameamua kutoa hizo mada mnazoona za hivyo.
 
Aaah umezoea vya kunyonga tu, kina The bold watafute madini huko wakuletee, kina UMUGHAKA wajipinde wakuandikie wewe story uje uburudike bure kabisa wakati hizo story kuna watu X wanalipishwa. Kijana kama unaona jf inadorola anza kuifufua, mabadiliko huanza na wewe.
 
Tuanze kuwatoa akina Lucas Mwashambwa na Mods wawekwe wapya wanaokidhi mahitaji.
 
Weka hii Post, "Sisi watu wakula tunda kimasikhara" tujaze kurasa mia kwa nusu saa.
 
hivi inawezekana humu kukawa na generation mpya ambayo haiwezi kuelewa utofauti tunaofeel?
Ipo mkuu, we angalia tu katika hali ya kawaida mtu unawezaje kuandika thread 5+ plus kwa siku halafu hazina hata maudhui ya kutoa elimu.

Anyway tuvumilie 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…