Jamii forum, maoni dira ya Taifa, 2025-2050.

Jamii forum, maoni dira ya Taifa, 2025-2050.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
-Maoni yangu binafsi ni umri wa kustaafu uwe miaka 50, kupisha chipukizi.
-Iwe mwiko mtu kushika nafasi za kiuongozi zaidi ya moja.
-Baada mtu kustaafu awe anapatiwa eneo la ekari 2, kama sehemu za benefit zake.
-Uchumi wa viwanda upewe uzito
-Utaalamu wa maswala ya electronic, ujuzi wake kwa kina pamoja na A. I, Uzidishwe na vyuo vijengwe!
-Nishati itiliwe mkazo inakadiriwa 2050 idadi ya watanzania itakuwa mara mbili ya wakati huu.
>Tuendelee..........
 
Dira kwenye shithole kantri inayogawa hovyo rasilimali zake ambazo mola ameipatia! Hiyo dira inaenda kutekelezwa na nn
 
Back
Top Bottom