Jamii Forum ni nini kwako?

sehemu ya kuhakiki kama point walizoongea viongozi na mastaa ni point kweli au pumba maana mtu ataongea wee ukiingia JF wadau wanakosoa kwa point matata sana,..kwa hiyo kwangu JF ni kiwanda cha kuhariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…