Jamii forum ishakuwa na watu wengi, stori nyingi Ni part kubwa ya maisha yetu.napendekeza kuanzishwe radio ya jamiiforum radio.dakika tunazo tuwe tunapiga simu najitambulisha kama ndege JOHN natoa maoni yangu natuma salamu kwa kina fulani.stori inakuja hio radio sote tuwe na hisa pale.radio mpya waandishi wa habari wamo humu humu.tutajikuta tunapeana madili sisi kwa sisi itazipiku radio zote zilizopo.tuchangeni hela tusiogope jamiiforum ndio inaongoza kwa kutoa taarifa,stori nyingi Ni maada tosha ya kuwa na vipindi vyake na watu wa kijijini wasio na simu na ID Wapate nafasi ya kusikiliza elimu mbalimbali na maarifa kutoka kwa members.