nilidedicate poem jana for jamii forum online na imetoka leo
To JF members
I searched, through social and networking sites
Seeking that one place, that would give me proper insights
A place where likeminded fellows, sought and shared ideas
Then I stumbled upon JF, where I have laid down my ears
To see, to learn and grow in these years
A place the teaches, informs and your mood it cheers
JF has become my home, a place where I hope you see us.
Soulbrother
Shairi lako zuri,Lakini ungeliweka kwenye Lugha yetu ya kiswahili kweli lingekua zuri zaidi.
unajua kwanini nimesema hivyo!?
Juzi hapa nilikua nimekaa kwenye benchi kwenye bank ya NMB nasubiri huduma karibu na dawata la kuaandikisha wateja wapya,hapo nilijua kua kiwango cha elimu au sijui niseme uelewa watu wa lugha hii ya kugeni ni mdogo?Asilimia 99.9 waliokua wamejaza hizo fomu za wateja walikua wamekosea kujaza,mwengine hajuai hata sehemu ya kuweka saini au ya kutia saini yake ni kazi wanaweka kwa erufi kubwa,wengine hawajui kwamba nano NAME kwenye fomu hizo linamaanisha jina wao wanajaza sehemu wanapoishi.
Yaani ni taflani,wale wafanyakazi wa benki wa kitengo kile wanapata shida sana nadhana hata kiwango cha mishahara yao kinastahiri kiwe kikubwa kidogo,wanafanya kazi za walimu wa shule wakti huo huo kama maofisa wa banki.
sasa hilo ni swala la banki,fikiri wangapi wangetaka kuelewa maana halisi ya shairi hilo hapa?
Tafadhali liweke hata kwa kiswahili pia Mkulu