Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Nimekaa Jamvini takribani miezi miwili ila naona maisha yangu ya ndoa yako matatani. Nachelewa sana kutoka kwenye shughuli zangu, ila nikifika nikisha pata chakula cha jioni nahamia kwenye laptop na kuhangaika kwenye jamii forum mpaka alfajiri. Mama hajapata haki yake tangu nijiunge na jamii forum. Nikisha kaa sibanduki mpaka alfajiri. Mida hiyo nikiomba mzigo mama hataki anasema kumekucha.
Naomba MODS mnitoe kwenye forum yenu nisije nikavunja ndoa yangu.
Byeeee.
mimi sikubaliani na mada hii ingawa sipendi kutema cheche kama na wengine waliogadhabishwa ila naomba nitumie kauli ya busara na kizalendo kukushauri ndugu yangu. Hakuna haja ya kuwaomba jf wakufute ila unaweza ukahamua usiwashe laptop yako wala kutokuingia internet na hautaona wala kusikia jamii forums wakikuuliza mbona hujaja leo? Mimi huwa nakawia hata miezi minne bila kwenda internet kusoma magazeti kuangalia tvs na hata kusikiliza radio, na hakuna m2 anae nihukumu sembuse wewe na jf kaka jihukumu mwenyewe kwa kwenda bar kupata beer kwa pesa yako mwenyewe bila kulazimishwa.
Kamanda... this is what we call blame it on the rain or sunshine...aiy---yaaaahhh! Self discipline inasumbua...
huenda hata Mods wakiku Ban, utakuja na ID nyingine,...!
Pole sana,....
Kifupi wewe Ni mjinga....jielimishe mwenyewe uelimike........
Nimekaa Jamvini takribani miezi miwili ila naona maisha yangu ya ndoa yako matatani. Nachelewa sana kutoka kwenye shughuli zangu, ila nikifika nikisha pata chakula cha jioni nahamia kwenye laptop na kuhangaika kwenye jamii forum mpaka alfajiri. Mama hajapata haki yake tangu nijiunge na jamii forum. Nikisha kaa sibanduki mpaka alfajiri. Mida hiyo nikiomba mzigo mama hataki anasema kumekucha.
Naomba MODS mnitoe kwenye forum yenu nisije nikavunja ndoa yangu.
Byeeee.
Acha uwongo!Nimekaa Jamvini takribani miezi miwili ila naona maisha yangu ya ndoa yako matatani. Nachelewa sana kutoka kwenye shughuli zangu, ila nikifika nikisha pata chakula cha jioni nahamia kwenye laptop na kuhangaika kwenye jamii forum mpaka alfajiri. Mama hajapata haki yake tangu nijiunge na jamii forum. Nikisha kaa sibanduki mpaka alfajiri. Mida hiyo nikiomba mzigo mama hataki anasema kumekucha.
Naomba MODS mnitoe kwenye forum yenu nisije nikavunja ndoa yangu.
Byeeee.
hahaha kuna watu hawabanduki kule lol..Maria rozina kiboko!Acha uwongo!
Mbona kwa miezi hiyo mi2 una posti 10 tu, huku ukilalama kwamba unakesha hapa, ina maana wewe huchangii kitu...sasa huwa unafanya nini, au huwa upo kule kwa Maria-Rozina?
Mpende mkeo bana...JF uliikuta na utaiacha!
Wewe lazimas utakuwa ulikuwa unazama PM au kulewa wakubwa.... haiwezekani upende siasa, kiasi hicho.Nimekaa Jamvini takribani miezi miwili ila naona maisha yangu ya ndoa yako matatani. Nachelewa sana kutoka kwenye shughuli zangu, ila nikifika nikisha pata chakula cha jioni nahamia kwenye laptop na kuhangaika kwenye jamii forum mpaka alfajiri. Mama hajapata haki yake tangu nijiunge na jamii forum. Nikisha kaa sibanduki mpaka alfajiri. Mida hiyo nikiomba mzigo mama hataki anasema kumekucha.
Naomba MODS mnitoe kwenye forum yenu nisije nikavunja ndoa yangu.
Byeeee.