Jamii Forums hatujui matumizi mazuri ya lugha

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
Hatueleweki ni lugha ipi tunayoongea. Kwenye sentensi moja kuna lugha mbili, Kiswahili na Kiingereza. Tuamue moja, ukichangia changia kwa lugha moja eidha Kiingereza ama Kiswahili.
 
Hatueleweki ni lugha ipi tunayoongea. Kwenye sentensi moja kuna lugha mbili, Kiswahili na Kiingereza. Tuamue moja, ukichangia changia kwa lugha moja eidha Kiingereza ama Kiswahili.

Kwanini unaibia lugha? ni vyema ungeandika "mstari mmoja wa maneno kuna lugha......"
 
Hapa ukisoma ukaelewa tambaa ukitaka kuanzisha darasa mwambie mods aanzishe jukwaa lakujifunzia lugha.
 
Muhimu ujumbe kufika...wengi hapa Kiswahili na Kiingereza ni lugha za pili....tuanfikiri zaidi katika lugha ya kwanza
 
Zote ni official languages!kama ni kosa halikuanzia Jf.
 
Kama huelewi si acha kuchangia tu!!:tape:
 
Hata wewe hilo neno eidha una uhakika ni kiswahili?????????
 
wengine kuna maneno hatujui kwa kingereza (kama Kutonesha mfano, nisemeje?) na mengine hatujui kwa kiswahili (frustrated, nasemaje?) basi tunaandika kote kote, muhimu ni kufikisha ujumbe.
 
Hatueleweki ni lugha ipi tunayoongea. Kwenye sentensi moja kuna lugha mbili, Kiswahili na Kiingereza. Tuamue moja, ukichangia changia kwa lugha moja eidha Kiingereza ama Kiswahili.

Kwanini unaibia lugha? ni vyema ungeandika "mstari mmoja wa maneno kuna lugha......"

Jamaa unaonekana umesahau Kiswahili ulichofanyia mtihani form four
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…