Jamii Forums sianchi ng'o!

Jamii Forums sianchi ng'o!

machiaveli

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
2,225
Reaction score
5,055
Huu mtandao tangu nimeujua umenisaidia mno kunielimisha,kupata ushauri na kuniburudisha!
Jana nilikua home Sina kazi Kuna nyuzi mbili nilifumua nilipitia post zote kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni Niko online jf!😂
Nilijifunza mengi na kuburudika mno
 
Jina la uzi sasa nikajua Kuna mtu unamchamba Kama vile kukuambia asiingie jf..😅
 
Huo uzi kama sio kula tunda kimasihara sjui [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Huu mtandao tangu nimeujua umenisaidia mno kunielimisha,kupata ushauri na kuniburudisha!
Jana nilikua home Sina kazi Kuna nyuzi mbili nilifumua nilipitia post zote kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni Niko online jf![emoji23]
Nilijifunza mengi na kuburudika mno
Shout out kwa Bro Mello
 
Back
Top Bottom