Jamii forums uchovu wa kazi

Jamii forums uchovu wa kazi

Mtuache

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
256
Reaction score
658
Nimefungua uzi huu mahususi kabisa kutokana na uchovu unaotupata kwenye mida flani hivi makazini. Mara nyingi ikiwa bado masaa mawili au moja kutoka.

Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kuondoa uchovu

Muda wa jukwaa ni 24/7

Mimi hapa nikianza kusikia uchovu huwa naenda hadi kuoga. Humo humo ofisini naingia zangu washroom napiga maji naendelea na mapambano
 
Ofisi yako ni self contained choo humo humo na bafu
 
Back
Top Bottom